Imetumwa: July 22nd, 2025
Wananchi wa Kata za Masama Rundugai na Machame Mashariki wametakiwa kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi ya BOOST iliyotambulishwa na halmashauri ya wilaya ya Hai ili kuhakikisha mi...
Imetumwa: July 17th, 2025
Jamii imetakiwa kushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa miradi mbalimbali inaofanyika katika kata zao ikiwemo miradi ya elimu ili kuwezesha miradi hiyo kukamilika kwa wakati na kuleta manufaa...
Imetumwa: July 17th, 2025
Wananchi wa kijiji cha Mbosho kata ya Masama Kati wilaya ya Hai wamepokea fedha za mradi wa BOOST shilingi 101,082,832.00 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi mafeto.
Akizungumza ...