Imetumwa: January 21st, 2020
Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole sabaya amesema tayari wamiliki wa mabasi wanao tuhumiwa kuhujumu miundombinu ya reli wameripoti kituo cha polisi Bomang’ombe wilayani Hai.
Wamiliki hao ni Clemence ...
Imetumwa: January 17th, 2020
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Mhe.William Ole Nasha amesema kuwa serikali kwa kutambua umuhimu wa Elimu ya ufundi kuelekea Tanzania ya viwanda imeendelea kufanya uwekezaj...
Imetumwa: January 8th, 2020
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwita Waitara amewataka watumishi na viongozi katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuimarisha ...