Imetumwa: February 8th, 2023
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Hai likiongozwa na Mwenyekiti wake Edmund Rutaraka, lililofanyika leo Februari 08, 2023 limepitisha bajeti ya Halmashauri yenye thamani ya shilingi bilioni ...
Imetumwa: February 8th, 2023
Mbunge wa jimbo la Hai Saashisha Mafuwe amekabidhi mikopo inayotokana na asilimia 10 ya makusanyo ya halmashauri ya wilaya ya Hai yenye jumla ya shilingi Milioni 142 katika vikundi vya Vijana...
Imetumwa: February 6th, 2023
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro Juma Irando amekabidhi rasmi kwa mkuu mpya wa wilaya hiyo Amiri Mkalipa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassa...