Imetumwa: December 24th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Juma Irando amewataka waalimu na wanafunzi kuhakikisha wanatunza miundombinu ya shule mbali mbali iliyojengwa Wilayani humo.
Mkuu huyo wa wilaya ameya...
Imetumwa: December 24th, 2021
Diwani wa kata ya Masama kusini Cedrick Pangani amezikumbuka kaya masikini katika kijiji cha Mkombozi kilichopo kata hiyo kwa kutoa msaada wa vyakula, nguo pamoja na vinywaji vyenye thamani ya shiling...
Imetumwa: December 22nd, 2021
Katika utekeleza Sera ya Elimu bure, kata ya Masama kati wilayani Hai imepokea jumla ya shilingi million 63, 759,724 kutoka Serikalini katika mwaka wa fedha 2020/2021 kwa shule 6 za msingi na sekondar...