Imetumwa: January 29th, 2021
Diwani wa kata ya Masama kusini Cedric Pangani amemtembelea mkazi wa kijiji cha mkombozi Bi Farihia Kweka ili kumjulia hali na kutoa pole kufuatia nyumba yake kuungua moto.
Pangani amesema kuwa baa...
Imetumwa: January 25th, 2021
Diwani wa kata ya Bomang'ombe Evod Njau amewataka wakazi wa kitongoji cha Bomani wilayani Hai kuwafichua wahalifu katika eneo hilo ili kuimarisha usalama wa wakazi hao.
Diwani Njau ameyase...
Imetumwa: January 24th, 2021
Watumishi wa mahakama katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wamehimizwa kuendelea kuzingatia kanuni na miongozo ili kuisaidia mahakama kufanya kazi ya utoaji haki kwa weledi na kwa kuzingat...