Imetumwa: January 12th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Hai Juma Irando ameiagiza ya halmashauri ya wilaya ya Hai kuitisha kikao na wafugaji mara kwa mara kwa lengo la kuwapatia elimu ya mpango wa matumizi bora ya ardhi kati ya wafugaji h...
Imetumwa: January 11th, 2023
Mkuu wa wilaya ya hai Juma Saidi Irando amewataka wafugaji,wakulima na wanachi wote wa kijiji cha longoi kata ya Weru Weru wilayani Hai kutunza na kuvilinda vyanzo vya maji katika kata hiyo ili kuende...
Imetumwa: January 10th, 2023
Viongozi wa kata na vijiji katika kata ya Masama Rundugai wametakiwa kuwajibika kwa wananchi ili kuepusha maswali na sintofahamu kwa wananchi hao.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Hai Juma Said ...