Imetumwa: November 27th, 2019
VIONGOZI waliochaguliwa kwenye Ucchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 wametakiwa kuwahudumia wananchi bila ubaguzi na kujiepusha na vitendo vya rushwa kwani ndiyo chanzo cha migogoro.
Kauli hiyo...
Imetumwa: November 25th, 2019
ZOEZI la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limekamilika katika hali ya utulivu na amani huku wananchi wakijitokeza kwa wingi katika kuwachagua viongozi wao.
...
Imetumwa: November 21st, 2019
Siku ya Kupiga Kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni tarehe 24-11-2019.
Wananchi wote wa Wilaya ya Hai waliojiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura wanakumbushwa kuwa zimebaki siku 3 kuelek...