Imetumwa: December 8th, 2020
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai na Diwani wa Kata ya Muungano Mhe. Edmund Rutaraka amewataka watumishi wa halmashauri hiyo kutoa ushirikiano wa kutosha kwa madiwani wa halmashauri ...
Imetumwa: December 2nd, 2020
Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Hai waamemchagua diwani wa kata ya Muungano Edmundi Rutaraka kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Hai huku diwani Swalehe Kombo wa kata ya Romu akichaguliwa...
Imetumwa: November 30th, 2020
Wananchi wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro wametambua ufanisi wa Idara ya Elimu Msingi kwa kufanya vizuri Mtihani wa kumaliza elimu ya Msingi mwaka 2020 uliopelekea wilaya kushika nafasi ya...