Imetumwa: September 16th, 2021
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai wameishukuru serikali kwa kutoa fedha za miradi kwa ajili ya kujenga na kukamilisha ujenzi wa madarasa na zahanati katika maeneo yao.
Wakizungumza leo...
Imetumwa: September 13th, 2021
Siku kadhaa baada ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kupita katika mji wa Bomang’ombe wilayani Hai na kuzungumza na wakazi wa eneo hilo, wakazi hao wameeleza kufurahishwa ...
Imetumwa: September 10th, 2021
Chama cha mapinduzi wilayani Hai mkoani Kilimanjaro kimepongeza shughuli za kimaendeleo ambazo zimekuwa zikifanywa na serikali huku chama hicho kikiwataka watumishi wa umma kutambua kuwa wajibu ...