Imetumwa: October 14th, 2020
Vijana wametakiwa kutumia changamoto zilizopo kwenye jamii na kuzitumia kama fursa ya kujinufaisha kiuchumi kwa kutafuta utatuzi wa changamoto hizo.
Kauli hiyo imetolewa na Afisa Vijana Mkoa wa Kil...
Imetumwa: October 14th, 2020
Wito umetolewa kwa watanzania kumuenzi kwa vitendo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kufanya mambo ambayo aliyasimamia na kuyaamini kuwa yataleta maendeleo kwa Taifa.
Akimuwakilisha M...
Imetumwa: October 10th, 2020
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Hai Yohana Sintoo amewataka wananchi katika jimbo hilo kujitokeza kwa wingi kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kuchagua viongozi wanaowataka kuwaongoza kwa miaka mitano ...