Imetumwa: December 4th, 2024
Serekali wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imeanza rasmi ujenzi wa madaraja saba ikiwa ni pamoja na kunyanyua tuta za barabara mradi unaotarajiwa kugharimu Zaidi ya bilioni 5.
Akipokea taarifa ...
Imetumwa: November 27th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi wilaya ya Hai Dionis Myinga ameshiriki katika Zoezi la Kupiga kura katika kituo cha Bomani ambapo amewashukuru Wananchi wote na kuendelea kutoa wito kuendelea kupiga kura k...
Imetumwa: November 27th, 2024
Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Hai Mhe. Edmund Rutaraka amepiga kura leo tarehe 27/11/2024 katika Kituo cha St Joseph kata ya Muungano.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ufanyika kila baada ya ...