Imetumwa: July 11th, 2023
Wananchi wa kitongoji cha Mlima Shabaha kata ya Muungano wilaya ya Hai wameishukuru serikali kwa ujenzi wa shule mpya ya sekondari itakayo wahudumia wanafunzi wa kata ya Muungano na kata za jirani.
...
Imetumwa: July 2nd, 2023
Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Amiri Mkalipa ametoa onyo kali kwa wale wote watakaojaribu kudokoa kwa namna yoyote fedha zinazoletwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani humo.
Mhe. ...
Imetumwa: June 25th, 2023
Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa majengo manne na njia za kupitishia wagonjwa (walk ways) katika hospitali ya wilaya ya Hai.
Akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa mradi huo...