Imetumwa: October 21st, 2019
Naibu waziri wa Ardhi Angelina Mabula ameipongeza wilaya ya Hai kwa juhudi zinazofanyika za kutatua migogoro ya ardhi na kuagiza kuendelea kuweka tutaratibu maalumu wa kutatua migogoro ya ...
Imetumwa: October 19th, 2019
Wananchi waliojiandikisha katika daftari la orodha ya mpiga kura wametakiwa kwenda kuhakiki majina yao kuanzia tarehe 18/10/2019 hadi tarehe 24/10/2019.
Msimamizi wa uchaguzi katika halmashau...
Imetumwa: October 17th, 2019
Zaidi ya watoto elfu 44000 wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Surua - Rubella na polio katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro katika zoezi lililoanza leo na linarajiwa kukamilika Oktob...