Imetumwa: November 18th, 2020
Akiongea na kamati ya Lishe ya Wilaya, Yohana Sintoo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai amesisitiza unywaji wa Maziwa, kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya lishe bora inayopelekea afya njema.
...
Imetumwa: November 17th, 2020
Watumishi wilayani hai wametakiwa kuendelea kudumisha amani na mshikamano ili kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
Akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga watumishi waliostaa...
Imetumwa: November 16th, 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Yohana Sintoo amewataka watumishi wa Umma kwenye halmashauri hiyo kufanya kazi kwa bidi kwa kuzingatia sheria, kanuni na...