Imetumwa: November 8th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe.Lazaro Twange ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuchagua kiongozi Bora atakayelinda maslahi ya watanzania katika ngazi za mitaa.
Wito huo umetolewa wakat...
Imetumwa: November 8th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Hai Dionis Myinga ametoa wito kwa waalimu wote kufanya kazi Kwa bidii na weledi mkubwa ili kuongeza matokeo mazuri mashuleni na kutoa hamasa kwa Wanafunzi ili waweze k...
Imetumwa: November 14th, 2024
Ulaji duni na ulishaji wa watoto na mtindo wa maisha usiofaa umetajwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa tatizo la utapiamlo nchini.
Hayo yamesemwa na afisa lishe wilaya ya Hai Bi katika maadhi...