Imetumwa: July 4th, 2025
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD) katika Kituo cha Afya cha Kata ya Kia, wilaya Hai mkoa wa Kilimanjaro.
&nb...
Imetumwa: July 4th, 2025
Mwenge wa Uhuru umeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara ya Shabaha yenye urefu wa kilomita 0.59 na inayojengwa kwa kiwango cha lami katika Kata ya Muungano, Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro...
Imetumwa: June 27th, 2025
Wananchi wa kijiji cha Kware wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha mbalimbali kwaajili ya utekelezaji ...