Imetumwa: June 11th, 2020
Wito umetolewa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Hai kutoa kiwango kikubwa cha fedha wanazowapa wanawake, vijana na wenye ulemavu ili kuwawezesha kutekeleza miradi yenye tija kwa jamii husika.
Wito huo ...
Imetumwa: June 10th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Anna Mghwira ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Hai kwa kupata hati inayoridhisha kwenye ukaguzi uliofanywa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kwa mwaka 2018/19.
Akizung...
Imetumwa: June 6th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imetoa wiki moja kwa wajasiriamali wadogo wanaostahili kuwa na vitambulisho vinavyotolewa na Serikali kufanya hivyo ili kuwapa uhuru wa kufanya biashara...