Imetumwa: August 28th, 2022
Ikiwa imesalia Siku moja kuhitimishwa kwa dodoso kuu la Sensa, hadi kufikia leo Agosti 28 2022 wilaya ya Hai imefikia 90.86% ya ZOEZI hilo.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa kamati ya Sensa ambay...
Imetumwa: August 24th, 2022
Wito umetolewa kwa makarani wa sensa kutotembea na vishikwambi sehemu za starehe ili kuzuia upotevu wa vifaa hivyo muhumu.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu wakati kam...
Imetumwa: August 24th, 2022
Sheikh Mkuu wa mkoa huo Mlewa Shabani amesema katika dini ya kiislamu sensa ni moja kati ya jambo lililohimizwa huku akiongeza kuwa hata katika maisha ya kawaida lazima uwe na hesabu ya namna ga...