Imetumwa: April 22nd, 2021
HaiUshirikiano kati ya wazazi na walezi ukiimarishwa katika haki na ulinzi wa mtoto itasaidia kupunguza ukatili unaotendeka dhidi ya watoto kwenye jamii.
Akizungumza na wananchi wa kijiji ...
Imetumwa: April 23rd, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya lengai ole sabaya amewajia juu Wafanyabiashara waliopandisha bei ya mafuta ya kula wilayani humo na kutoa saa 24 kujitafakari kabla...
Imetumwa: April 25th, 2021
Diwani wa kata ya Masama kati Kandata Kimaro amewataka wanawakena vijana katika kitongoji cha Marukeni kijiji cha Ng'uni kuunda vikundi kwa wingi na kuvisajili ili kukidhi vigezo vya kupata mikopo isi...