Imetumwa: April 26th, 2022
Wilaya ya Hai imeadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya usafi katika soko kuu la walaji Bomang’ombe pamoja na hospitali ya wilaya hiyo kwa kufyeka nyasi kuzunguka eneo hi...
Imetumwa: March 21st, 2022
Madiwani pamoja na watendaji wa kata na vijiji Halmashauri ya wilaya ya Hai wametakiwa kuendelea kutoa ushirikiano ili kuwezesha utekelezaji wa zoezi la anwani za makazi kwenye maeneo yao ...
Imetumwa: March 16th, 2022
Serikali Wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imewataka waliochaguliwa kwa ajili ya kufanya zoezi la ukusanyaji wa taarifa za anuani za makazi kufanya zoezi hilo kwa weledi ikiwa ni pamoja na kuzingatia ma...