Imetumwa: April 6th, 2023
USHIRIKIANO mzuri uliopo kati ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro na watumishi katika kusimamia ukusanyaji wa mapato ya ndani umefanikisha kutolewa kwa wak...
Imetumwa: April 3rd, 2023
Katibu Tawala Wilaya ya Hai Upendo Wella amewataka wananchi wa kata za Kia na Masama Rundugai kuchua tahadhari ya mafuriko kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
...
Imetumwa: March 30th, 2023
Mwenyekiti wa kamati ndogo iliyoundwa na baraza la madiwani kufuatilia suala la mazingira wilayani Hai, mhe Nasibu Mndeme ameitaka bodi ya Maji Bonde la Pangani Mkoani Kilimanjaro k...