• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Vijana 4500 Kunufaika Na Mradi wa Vijana

Imetumwa: August 28th, 2023

Zaidi ya vijana 4500 wa wilaya ya Hai wanatarajiwa kunufaika na mradi wa Vijana (Enhancing Livelihood Prospects for Young People) utakaotekelezwa katika wilaya nne mkoani Kilimanjaro ikiwemo wilaya ya Hai.

Akizungumza wakati wa utambulisho wa mradi huo Winnie Muine ambaye ni Meneja wa Mradi Kutoka DSW amesema mradi huo utakaohusisha wadau watatu HRNS Tanzania, Khune Foundation, DSW Tanzania umelenga   kuwawezesha Vijana kuboresha maisha yao katika maeneo ya Afya, Elimu, kipato pamoja na ustawi wao kwa ujumla ili waweze kufikia malengo yao.

Ameendelea kwa kusema mradi huo unatekelezwa katika Mikoa  minne ukiwemo mkoa wa Kilimanjaro, Arusha, Mbeya na Songwe  kwa muda wa miaka minne ( 2023-2027)  unaotarajiwa kunufaisha vijana takribani 50,000 ambapo kwa Mkoa wa Kilimanjaro utatekelezwa katika wilaya ya Rombo, Siha, Moshi vijijini pamoja na Hai.

Akizungumza katika zoezi hilo la utambulisho wa mradi huo Afisa Rasilimali watu  Mkoa wa Kilimanjaro ndugu Amos Machilika  amewataka  wadau kuendelea  kufanya kazi  karibu na  serikali katika kuhakikisha wanajua  vipaumbele vya serikali hususani katika Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na fursa zilizopo serikalini.

Katika utekelezaji wa mradi huo kila shirika lina jukumu lake ambapo HRNS Tanzania watajikita zaidi na masuala ya kuwawezesha vijana wa kike na kiume katika Sekta ya Kilimo, Khune Foundation watajikita zaidi katika kutoa fursa za Elimu ya Juu na Vyuo vya ufundi katika maeneo ya uratibu, usafirishaji, na ugavi na DSW Tanzania watajikita katika Elimu ya Stadi za Maisha, Kupinga Ukatili wa Kijinsia na Elimu ya Afya ya Uzazi pamoja na utumiaji na upatikanaji wa Huduma Rafiki kwa Vijana.

Matangazo

  • TANGAZO LA UKUSANYAJI NA UZOAJI TAKA HAI MJINI September 27, 2023
  • MAJINA YA WALIOITWA USAHILI NAFASI ZA JESHI WILAYA YA HAI September 06, 2023
  • TANGAZO LA UKUSANYAJI NA UZOAJI TAKA HAI MJINI September 27, 2023
  • TANZGAZO LA ZABUNI SEKONDARI YA MATUNDA July 20, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Baraza La Madiwani Hai Wajifunza Ukusanyaji Wa Mapato Jiji La Mwanza

    October 02, 2023
  • Serikali Kujenga Mahakama Ya Mwanzo Machame

    September 07, 2023
  • Serikali Kutekeleza Mpango Wa Makuzi Na Malezi Kwa Watoto

    September 01, 2023
  • Wadau Wa Maendeleo Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Ushirikiano Katika Malezi Ya Mtoto

    August 29, 2023
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai