Imetumwa: October 4th, 2022
Wazazi na walezi wametakiwa kuwaombea Watoto wao ili waweze kufanya vizuri kwenye mtihani wa darasa la saba unaotarajiwa kufanyika kuanzia siku ya kesho tarehe 5 na tarehe 6 mwezi huu.
...
Imetumwa: September 29th, 2022
Kamati ya ulinzi na usalama wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imewataka wananchi kushiriki kwenye miradi ya maendeleo inayoendelea ili kujua thamani ya miradi hiyo kwani ni miradi inayoletwa Kwa ajili Y...
Imetumwa: September 27th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Hai imepokea jumla ya fedha shilingi bilioni 1.9 za miradi ya maendeleo Kwa mwaka wa fedha 2021/2022 kutoka serikali kuu, pamoja na mapato ya ndani ya Halmashauri kwa ajili ya...