• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo

Elimu Sekondari

KUANZA KWA IDARA:

Idara ya Elimu Sekondari katika Halmashauri ilianzishwa tarehe 1/7/2009 ilipong’atuliwa kutoka wizara ya elimu na utamaduni (kwa sasa wizara ya elimu sayansi na teknolojia).  

IDADI YA SHULE NA WANAFUNZI KATIKA SHULE ZA SEKONDARI

  • Hadi kufikia Januari 2017, Idara ya Sekondari ina jumla ya shule za sekondari 47 – shule 29 za Serikali na Shule 18 zisizo za Serikali – Kati yake shule 2 hazina wanafunzi tangu Januari 2017 baada ya kukosa wanafunzi.  Katika shule za serikali wapo wanafunzi 13127 - wasichana ni 6078 na wavulana ni 5434; kati yao wanafunzi wa Kiadato cha V – VI ni 1870.  Wanafunzi katika shule zisizo za serikali wapo wanafunzi 3628 na kufanya jumla ya wanafunzi wote wa shule za Sekondari kuwa 16755.

MAJUKUMU YA IDARA

Idara ya Elimu ya Sekondari inatekeleza majukumu yake chini ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014, Sheria ya Elimu Na. 25 ya Mwaka 1978 na Marekebisho yake ya Mwaka 1995 na 2002.  Pia zipo Kanuni, Nyaraka na Miongozo mbalimbali ya Serikali inayofafanua na kutoa mwelekeo wa kutekeleza majukumu ya Idara ili kufikia:

Dira ya Elimu na Mafunzo nchini ambayo ni “Kuwa na Mtanzania aliyeelimika na mwenye maarifa, stadi, umahiri, uwezo na mitazamo chanya ili kuweza kuchangia katika kuleta maendeleo ya Taifa”.

Dhima yetu ambayo ni kuwa ni “kuinua ubora wa elimu na mafunzo na kuweka mifumo na taratibu zitakazowezesha kupata idadi kubwa ya Watanzania walioelimika na wanaopenda kujielimisha zaidi ili waweze kuchangia katika kufikia malengo ya maendeleo ya Taifa letu”.

 

UONGOZI WA IDARA

Idara ya Elimu ya Sekondari inaongozwa na Viongozi wa Elimu wa aina tatu:

  • Mkurugenzi Mtendaji (W)  =>  Mkuu wa Idara;
  • Maafisaelimu taaluma = 2;
  • Maafisaelimu Vifaa na Takwimu = 2;
  • Watendaji wa Kata  =>  Waratibu Elimu Kata;
  • Bodi za Shule  =>  Wakuu wa Shule.

 

HALI YA MADAWATI KATIKA SHULE ZA SEKONDARI

Halmashauri ya Wilaya ya Hai hadi kufikia Desemba 2016 ilikuwa na madawati (Seti ya Kiti na Meza) 11512 sawa na idadi ya wanafunzi 11512 waliokuwepo katika shule za Serikali.  Baada ya kuchaguliwa kwa jumla ya wanafunzi 4156 wa Kidato cha I – 2017, Halmashauri ilijikuta ikipungukiwa na jumla ya madawati 1945.  Hii ni kutokana na tofauti ya Wanafunzi 2211 Waliohitimu Kidato cha Nne, 2016 na Kidato cha I – 2017 waliochaguliwa.  Lakini hadi kufikia tarehe 23/02/2017, upungufu uliopo ni jumla ya madawati 783 kutokana na Idadi ya wanafunzi 2994 walioripoti.0.

Upungufu huo, tunakusudia kuupunguza kwa kugawa madawati mapya yaliyobaki ambayo ni zidio kwa ajili ya shule za msingi kwa sasa.

WATAHINIWA - CSEE 2016

WALIOFAULU (PSLE - 2016) KIDATO I - 2017

WALIORIPOTI HADI 23/02/2017

            ASILIMIA  ( % ) 

WALIOHAMA HADI 23/02/2017

WALIOHAMIA HADI 23/02/2017

WALIOJIUNGA PRIVATE HADI 23/02/2017

WASIORIPOTI HADI 23/02/2017

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

WAV

WAS

JML

946

1265

2211

2019

2137

4156

1480

1514

2994

72.04

185

294

479

67

109

176

243

239

482

111

90

201







HALI YA UJENZI WA MAABARA ZA MASOMO YA SAYANSI

Halmashauri ya Wilaya ya Hai kwa kushirikisha wadau na wananchi imejenga maabara katika shule za Serikali ambapo hatua iliyofikiwa ya vyumba vya maabara ni kama ifuatavyo: - Msingi 1, lenta/boma 12, Upauaji/ezekwa 27, Umaliziaji 14, na maabara zilizo kamili ni 33.  Idara inaendelea kuhimiza ujenzi wa maabara sawa na nguvu na juhudi zilizoonekana awali hadi hatua iliyofikiwa.  Idara inahimiza wananchi, viongozi wote ndani ya Wilaya kukamilisha maabara hizo:


idadi ya Shule

Mahitaji

Kamili

Maendeleo ya Ujenzi

Msingi

Boma/Linta

Upauaji

Umaliziaji

Maelezo

29

87

33

1

12

27

14

Michango na mwamko wa wananchi ni hafifu


Matangazo

  • WATUMISHI WAPYA KURIPOTI KAZINI 29-01-2018 January 23, 2018
  • KUITWA KAZINI November 23, 2017
  • KUITWA KWENYE USAILI August 07, 2017
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • DC Aagiza Mto Sanya Usafishwe Kudhibiti Mafuriko

    April 19, 2018
  • Wananchi Watakiwa Kutunza Miti Wanayootesha

    April 05, 2018
  • Naibu Waziri Mabula Awageukia Wanaodaiwa Kodi ya Ardhi

    February 28, 2018
  • Walimu Wanolewa Kutunza Mazingira

    February 20, 2018
  • Ona Yote

Video

Mkuu wa Wilaya Aagiza Mto Usafishwe Kudhibiti Mafuriko
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Majukumu Ya Meya/Mwenyekiti wa Halmashauri,Madiwani,Viongozi wa Vijiji,Mitaa na Vitongoji.
  • Blog ya Wilaya
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Pili 2017
  • Mikopo kwa Wanawake na Vijana
  • Muundo wa Halmashauri
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Taarifa Mbalimbali
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu
  • Baraza la Mitihani

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi: 0752195133

    Barua Pepe: mkurugenzihai@yahoo.co.uk

Mawasiliano Mengine

   

Idadi ya Watembeleaji

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai