MAJUKUMU YA IDARA YA UTUMISHI NA UTAWALA.
Sehemu ya Utumishi
Kazi za msingi.
Sehemu ya Utawala.
Kazi za msingi.
Kazi zinazofanywa na idara zaidi ya moja.
Halmashauri ya Wilaya ya Hai ina watumishi 2,301 katika Idara 13 na Vitengo 6 kulinganisha na ikama ya watumishi 2,660. Upungufu ni watumishi 359 hasa katika Idara za Elimu Sekondari (walimu wa masomo ya sayansi na hesabu), Afya, Kilimo, Mifugo, Ardhi na Utawala.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai