Imetumwa: June 17th, 2021
Mbio Maalumu za Mwenge wa Uhuru mwaka 2021 umekimbizwa katika wilaya ya Hai tarehe 09 Juni 2021 ukiwa na kauli mbiu ya TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu; Itumie kwa Usahihi na Uwajibikaji.
Ukiwa k...
Imetumwa: May 28th, 2021
Serikali imetenga shilingi bilioni 3.1 kwa ajili ya kutatua kero ya upatikanaji wa maji katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro tatizo ambalo limekua sugu kwa muda mrefu.
Hayo yamebainishw...
Imetumwa: May 14th, 2021
Diwani wa Kata ya Muungano Edmund Rutaraka ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai amechangia mifuko 40 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa pamoja na choo kwenye shul...