Imetumwa: July 27th, 2020
Wito umetolewa kwa waandikishaji wa huduma za bima ya afya ya jamii (ICHF) kuwaelimisha wananchi wanaowaandikisha ili kuimarisha uelewa wa wanajamii na kuondoa dhana potofu inayoenezwa kuhusu...
Imetumwa: July 23rd, 2020
Bilionea Saniniu Laizer hii leo amekabidhi kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000) alizoahidi kwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya walipokutana hivi karibuni kama mchango wake wa kuendelez...
Imetumwa: July 21st, 2020
Jumla ya shilingi milioni moja laki nne na elfu sabini na mbili zimerudishwa kwa wananchi wa kijiji cha Isuki Wilayani Hai mkoani Kilimanjaro na Mkuu wa wilaya hiyo kwa kushirikiana na TAK...