Imetumwa: July 15th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Juma Irando ameishukuru taasisi ya misaada ya Al Ata'a kwa kushirikiana na Qatar Charity kwa kuweka kambi ya matibabu katika hospitali ya wilaya ya Hai kwa len...
Imetumwa: July 14th, 2022
Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro Saashisha Mafuwe amewataka madereva bajaji na boda boda wilayani Hai kushiriki kikamilifu kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya watu na makazi ifikapo Agosti 23...
Imetumwa: July 14th, 2022
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Al Ata'a inayodhaminiwa na Qatar Charity inaendesha zoezi la upimaji wa Afya bila malipo kwa wananchi katika hospitali ya wilaya ya Hai huku watakaobainika kuwa na m...