Imetumwa: November 20th, 2020
Katika msimu huu wa mvua za vuli ambazo zinaendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, wananchi wilayani Hai wameshauriwa kuendelea kupanda miti katika maeneo yao ili kuepukana na changamoto za kimazi...
Imetumwa: November 18th, 2020
Akiongea na kamati ya Lishe ya Wilaya, Yohana Sintoo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai amesisitiza unywaji wa Maziwa, kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya lishe bora inayopelekea afya njema.
...
Imetumwa: November 17th, 2020
Watumishi wilayani hai wametakiwa kuendelea kudumisha amani na mshikamano ili kusukuma mbele gurudumu la maendeleo.
Akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuwaaga watumishi waliostaa...