Imetumwa: April 3rd, 2023
Katibu Tawala Wilaya ya Hai Upendo Wella amewataka wananchi wa kata za Kia na Masama Rundugai kuchua tahadhari ya mafuriko kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.
...
Imetumwa: March 30th, 2023
Mwenyekiti wa kamati ndogo iliyoundwa na baraza la madiwani kufuatilia suala la mazingira wilayani Hai, mhe Nasibu Mndeme ameitaka bodi ya Maji Bonde la Pangani Mkoani Kilimanjaro k...
Imetumwa: March 30th, 2023
Wilaya ya Hai imezindua rasmi mpango wa kujiandaa kukabili maafa na Mkakati wa kupunguza vihatarishi vya maafa ikiwa ni miongoni mwa wilaya mbili pekee nchini zenya mpango huo ...