Imetumwa: April 5th, 2018
MKUU wa wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Onesmo Buswelu amewataka wananchi kutunza miti inayooteshwa katika kipindi hiki cha mvua ili iweze kukua na kukabiliana na hali ya ukame kwenye maeneo mbalim...
Imetumwa: February 28th, 2018
Naibu Waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi Anjelina Mabula ameitaka idara ya ardhi Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro, kutowafumbia macho wadaiwa sugu waliogoma au kuchelewa kulipia kodi ya ard...
Imetumwa: February 20th, 2018
Imeelezwa kuwa jamii ya watu wanaoishi karibu na hifadhi ya mlima Kilimanjaro wanao wajibu mkubwa wa kusaidia kutunza mlima Kilimanjaro ili kuendelea kupata faida na huduma zitokanazo na mlima huo.
...