Imetumwa: January 11th, 2023
Mkuu wa wilaya ya hai Juma Saidi Irando amewataka wafugaji,wakulima na wanachi wote wa kijiji cha longoi kata ya Weru Weru wilayani Hai kutunza na kuvilinda vyanzo vya maji katika kata hiyo ili kuende...
Imetumwa: January 10th, 2023
Viongozi wa kata na vijiji katika kata ya Masama Rundugai wametakiwa kuwajibika kwa wananchi ili kuepusha maswali na sintofahamu kwa wananchi hao.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa wilaya ya Hai Juma Said ...
Imetumwa: December 30th, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Hai imekabidhi kiasi cha shilingi milioni mbili kwa familia mbili za walimu kufuatia ajali ya moto uliozuka majira ya saa 8 usiku wa kuamkia Disemba 29, 2022 na kuchoma nyumba...