Imetumwa: November 27th, 2019
Serikali katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro imeelza kuridhishwa na utendaji kazi wa jeshi la polisi wilayani hapo.
Akizungumza na maafisa na askari wa jeshi hilo pamoja na baadhi ya Wakuu wa I...
Imetumwa: November 27th, 2019
VIONGOZI waliochaguliwa kwenye Ucchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 wametakiwa kuwahudumia wananchi bila ubaguzi na kujiepusha na vitendo vya rushwa kwani ndiyo chanzo cha migogoro.
Kauli hiyo...
Imetumwa: November 25th, 2019
ZOEZI la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limekamilika katika hali ya utulivu na amani huku wananchi wakijitokeza kwa wingi katika kuwachagua viongozi wao.
...