Imetumwa: October 7th, 2018
SERIKALI wilayani Hai, Mkoani Kilimanjaro imewataka viongozi wa Halmashauri hiyo kusimamia agizo la Rais John Magufuli la kutowatoza ushuru wa mazao kwa wakulima na wafanyabiashara wadogo kwani jambo ...
Imetumwa: September 30th, 2018
Kiongozi wa mbio za Mwenge 2018 Mhandisi Charles Kabeho amewataka madiwani kuacha itikadi za siasa katika kufanya maamuzi ya kugawa mikopo ya asilimia kumi ya mapato ya ndani ya Halmashauri inay...
Imetumwa: September 29th, 2018
Mwenge wa Uhuru umeendelea kufanikisha jukumu la kuangaza Tanzania ikiwa ni pamoja na kuamsha kiu ya maendeleo kwa wananchi wa maeneo unapopita.
Katika Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Mwenge wa U...