Imetumwa: April 15th, 2019
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ametangaza nia ya kujenga ukumbi wa mikutano kwa ajili ya matumizi ya jeshi la polisi wilayani humo.
Akizungumza mbele ya maafisa na askari katika viwanja vy...
Imetumwa: April 13th, 2019
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Hai Yohana Sintoo amewapongeza na kuwashukuru watumishi wa halmashauri hiyo kwa kuiwezesha halmashauri kupata hati safi.
Sintoo ametoa pongezi hizo k...
Imetumwa: April 13th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai Yohana Sintoo amehamasisha wadau wa elimu mkoani Kilimanjaro kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watoto wenye ulemavu.
Zoezi hilo limefanyika...