Imetumwa: June 11th, 2022
Mkimbiza Mwenge wa uhuru kitaifa Sahili Geraruma amefungua barabara ya St. Dorcas iliyopo kata ya Muungano wilaya ya Hai yenye thamani ya shilingi 417,115,485 na urefu wa mita 680 ambapo barabara hiyo...
Imetumwa: June 11th, 2022
Mwenge wa uhuru umezindua ujenzi wa bweni katika shule ya sekondari ya wasichana Machame wilayani Hai wenye thamani ya shilingi milion 138,618,910.99 ambapo mradi huo utasaidia kupunguza msongamo wa w...
Imetumwa: June 11th, 2022
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2022 Sahili Nyanzabara Geraruma ameipongeza Mamlaka ya Maji mijini na vijijini RUWASA kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuhakikisha wanawapatia maji safi wanan...