Imetumwa: July 2nd, 2023
Mkuu wa wilaya ya Hai Mhe. Amiri Mkalipa ametoa onyo kali kwa wale wote watakaojaribu kudokoa kwa namna yoyote fedha zinazoletwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo wilayani humo.
Mhe. ...
Imetumwa: June 25th, 2023
Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika ujenzi wa majengo manne na njia za kupitishia wagonjwa (walk ways) katika hospitali ya wilaya ya Hai.
Akiweka jiwe la msingi katika ujenzi wa mradi huo...
Imetumwa: June 25th, 2023
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Abdalla Shaib Kaim ameeleza kuridhishwa na ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa katika shule ya sekondari Hai (Hai day) ambayo imejengwa kwa gharama ya shil...