Imetumwa: April 26th, 2022
Mbunge wa jimbo la Hai Mhe. Saashisha Mafuwe leo amekabidhi mkopo wenye jumla ya shilingi milioni 93 ikiwa ni pamoja na pikipiki 21 kwa vijana wa bodaboda wilayani Hai.
Aidha mikopo hiyo imetolewa ...
Imetumwa: April 26th, 2022
Wilaya ya Hai imeadhimisha miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kufanya usafi katika soko kuu la walaji Bomang’ombe pamoja na hospitali ya wilaya hiyo kwa kufyeka nyasi kuzunguka eneo hi...
Imetumwa: March 21st, 2022
Madiwani pamoja na watendaji wa kata na vijiji Halmashauri ya wilaya ya Hai wametakiwa kuendelea kutoa ushirikiano ili kuwezesha utekelezaji wa zoezi la anwani za makazi kwenye maeneo yao ...