• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Wafanyabiashara Wilayani Hai Watakiwa Kufuata Agizo la Serikali Juu ya Bei Elekezi Ya Sukari

Imetumwa: April 29th, 2020

Wafanyabiashara   wilayani  Hai mkoani Kilimanjaro  wametakiwa kuacha  kupandisha  bei ya sukari kwa madai kuwa  imeadimika na badala yake wafuate bei elekezi iliyotangazwa na serikali.

Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ametoa agizo hilo wakati wa zoezi la kukagua maduka yaliyopandisha bei ya sukari na kubaini kuwepo kwa baadhi ya wafanyabiashara waliokiuka maagiza ya serikali  na kuuza bidhaa hiyo kwa bei ya juu

“Serikali imeshatoa bei elekezi ya sukari kwa kila mkoa na hapa mkoani kwetu sukari itauzwa kwa bei ya rejareja kwa shilingi 2700 kwa kilo na sio vingine ”amesema Sabaya

“Katika ukaguzi wangu leo nimekuta maduka yanauza sukari kati ya shilingi 3000 na 3500 kwa kilo jambo hili stalivumia kabisa kuona wananchi wakidhulumiwa  kwa kuuziwa sukari kwa Bei ya juu angali serikali imeshatoa maelekezo  ”amesisitiza

Ameongeza “Waziri wa viwanda na biashara amepiga marufuku upandishaji wa bei , Waziri mkuu amesha sema sukari nchini iko ya kutosha iweje ninyi wafanyabiashara mpandishe bei na kushindwa kufuata maelekezo yanayotolewa , Serikali wilayani hapa haitamvumilia yeyote atakayekiuka agizo la serikali”

Ole Sabaya amesema wafanyabisha waache kutumia mwezi huu mtukufu wa Ramadhani pamoja kupandisha bei ya bidhaa na badala ake watumie muda mwingi kumwomba Mungu ili kuepusha na Janga hili la Corona linaloendelea kushika kasi nchini.

Kwa upande wake Afisa Biashara wa Halmashauri ya Wilayani Hai , Ernest Muhapa amesema kuwa wataendelea kufuatilia maagizo ya serikali ya ukomo wa bei za bidhaa ili  wananchi waendelee kupata huduma kwa unafuu.

Baadhi ya wananchi walioshuhudia zoezi hilo  la ukaguzi wa bei ya sukari wamepongeza  hatua ya serikali  kutoa bei elekezi hali  ambayo  itasaidia kupunguza ukali wa maisha

 

Matangazo

  • TANGAZO LA UKUSANYAJI NA UZOAJI TAKA HAI MJINI September 27, 2023
  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2023 WILAYA YA HAI November 23, 2023
  • MAJINA YA WALIOITWA USAHILI NAFASI ZA JESHI WILAYA YA HAI September 06, 2023
  • TANGAZO LA UKUSANYAJI NA UZOAJI TAKA HAI MJINI September 27, 2023
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Mhe Kaijage Awataka Watumishi Kufanya Kazi Kwa Bidii

    November 22, 2023
  • Mkalipa Ataka Viongozi Wa Dini Kufundisha Waumini

    November 08, 2023
  • Wananchi wa Kijiji cha Sanya Station Washukuru Ulipwaji Wa Fidia

    October 25, 2023
  • Mkurugenzi Dionis Myinga Aishukuru Kambele Kwa Msaada Wa Sementi

    October 23, 2023
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • BARUA PEPE YA MALALAMIKO
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai