 Imetumwa: November 8th, 2024
 
            Imetumwa: November 8th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe.Lazaro Twange ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kupiga kura ili kuchagua kiongozi Bora atakayelinda maslahi ya watanzania katika ngazi za mitaa.
Wito huo umetolewa wakati akizungumza na waalimu katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai,akiwataka wakawe mabalozi Kwa wananchi wengine kushiriki kupiga kura na kuchagua kiongozi mwenye maslahi kwa faida ya Watanzania
 
                              
                              
                            Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai