Dkt Abbasi aweka wazi siri ya Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano, alipofanya ziara ya kikazi Wilaya ya Hai na wilaya nyingine za Kanda ya Kaskazini kuangalia utendaji kazi wa Vitengo vya Mawasiliano Serikalini.
Alipata nafasi ya kuzungumza na wananchi kupitia Redio Boma Hai 89.3 FM inayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Hai.
Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro imejumuishwa kwenye wilaya zinazoweza kuzalisha zao la korosho. Serikali katika Wilaya hiyo imefanya maandalizi yanayohitajika katika kufanikisha kilomo hicho na kulitambulisha rasmi zao hilo kwa wakulima kwa uzinduzi uliofanyika tarehe 17/05/2018 kwa kuotesha shamba darasa kwa ajili ya wakulima watakaolima zao hilo kuendelea kujifunza kwa vitendo.

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai