Afisa Elimu Taaaluma Sekondari Bi. Stella Mwangomale amesema kuwa ujenzi wa bweni la wanafunzi shule ya Sekondari Machame unaendelea vizuri na utakamilka ndani ya muda.
Amesema zimebakii siku 19 za kukamilisha ujenzi huo na kwamba ana matumaini kuwa ujenzi huo utakamilka ndani ya muda na hivyo kutoa huduma iliyo kusudiwa.
Kwa upande wake Makamu Mkuu wa shule hiyo Devartusi Swai ameishukutu Serikali kwa kutoa fedha za ujenzi wa bweni hilo.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai