"Naagiza watumishi waliomaliza masomo na bado hawajaripoti kwenye vituo vyao vya kazi hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi yao"
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amehamisha sehemu ya kukusanyia taka iliyokuwa kwenye makazi ya watu na ofisi za taasisi ili kuimarisha hali ya usafi katika maeneo ya Mji Mdogo wa Bomang'ombe.
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameutangaza mwezi Novemba kuwa mwezi wa kukusanya mapato na stahiki za serikali zinazohujumiwa na watu wachache wasioutakia mema uchumi wa nchi
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai