• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

TANGAZO LA KAZI

Posted on: March 26th, 2020

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA




TANGAZO LA NAFASI ZA AJIRA YA MADAKTARI


Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Ofisi ya Rais - TAMISEMI) imepata kibali cha ajira ya Madaktari 610 watakaofanya kazi katika Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini. Hivyo, Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuwatangazia Madaktari wa Binadamu na Meno waliohitimu katika vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juu vinavyotambulika na Serikali kuwasilisha maombi ya nafasi za ajira kuanzia leo tarehe 24/03/2020 ili kujaza nafasi mbalimbali katika Hospitali za Halmashauri na Vituo vya Afya kama ifuatavyo:-


1. Daktari Daraja la II /Daktari wa Meno Daraja la II (Nafasi 610) Waombaji wawe na Shahada ya Udaktari wa Binadamu/Meno kutoka Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali waliomaliza mafunzo ya kazi kwa vitendo (Internship) kwa muda usiopungua mwaka mmoja na kupata usajili kutoka Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).


SIFA ZA MWOMBAJI; i. Awe raia wa Tanzania; ii. Awe na umri usiozidi miaka 45; iii. Awe na vyeti kamili vya mafunzo ya fani aliyosomea; iv. Asiwe Mwajiriwa wa Serikali au asiwe Mwajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya Dini ambaye mshahara wake unalipwa na Serikali;  v. Asiwe amewahi kuajiriwa Serikalini; na vi. Asiwe na check namba.


MAOMBI YOTE YAAMBATISHWE NA NYARAKA ZIFUATAZO: i. Barua ya maombi ya kazi ikieleza Mikoa mitatu ambayo mwombaji angependa kupangiwa kufanya kazi katika moja ya Halmashauri zake; ii. Nakala ya cheti cha kidato cha nne/sita; iii. Nakala za Vyeti vya Taaluma;

2


iv. Nakala ya cheti cha kuzaliwa; v. Nakala ya cheti cha usajili kamili (Full Registration) au Leseni ya kufanya kazi ya taaluma husika; na vi. Maelezo binafsi (CV), yakionesha umri, anuani kamili na namba ya simu ya kiganjani, pamoja na anuani/namba za simu za kiganjani za wadhamini wasiopungua wawili.


MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI WOTE i. Waombaji wote wawe tayari kufanya kazi Halmashauri yoyote watakayopangiwa; ii. Waombaji wote wawe tayari kufanya kazi na mashirika/taasisi zilizoingia ubia na Serikali; iii. Waombaji waliosoma nje ya nchi wanatakiwa waambatishe Equivalent Certificate kutoka Tume ya Vyuo Vikuu (TCU); na iv. Waombaji watakaotuma/waliotuma maombi yao ya kazi Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto hawapaswi kuomba nafasi hizi za kazi zilizotangazwa  kupitia Ofisi ya Rais - TAMISEMI.


Maombi yote yatumwe kwa njia ya mtandao (online) kupitia mfumo wa kielektroniki unaopatikana kupitia anuani ifuatayo: ajira.tamisemi.go.tz.  


Maombi yoyote yatakayowasilishwa kwa njia ya posta au kuletwa moja kwa moja Ofisini hayatafanyiwa kazi.


Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10 Aprili, 2020 saa 9:30 alasiri.  



Tangazo hili linapatikana katika tovuti yetu www.tamisemi.go.tz

http://tamisemi.go.tz/announcement/tangazo-la-kazi-kada-ya-afya


MUHIMU KWA WAOMBAJI WOTE

http://ajira.tamisemi.go.tz/#!/auth

Limetolewa na: Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mji wa Serikali – Mtumba, S.L.P 1923,  41185 DODOMA.


   24 Machi, 2020




Matangazo

  • TANGAZO LA KUMPATA FUNDI KWA AJILI YA JENGO LA MAABARA HOSPTALI YA WILAYA YA HAI March 29, 2022
  • TANGAZO LA KUTAFUTA FUNDI WA UJENZI JENGO LA KUIFADHI MAITI,SHIMO LA KUHIFADHI KONDO LA NYUMA,SEPTIC TANK...KATIKA KITUO CHA AFYA LONGO LINARUDIWA March 29, 2022
  • TANGAZO LA KUMTAFUTA FUNDI (LOCAL FUNDI) KWA AJILI YA UJENZI WA JENGO LA WAGONJWA MAHUTUTI (I.C.U) KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA HAI April 01, 2022
  • Vitambulisho vya Wajasiriamali Wadogo 2020 May 30, 2020
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Shilingi Milioni 93 Zatolewa Mkopo Kwa Vikundi Vya Vijana,Wanawake Na Watu Wenye Ulemavu

    April 26, 2022
  • Wilaya Ya Hai Imeadhimisha Miaka 58 Ya Muungano Wa Tanganyika Na Zanzibar Kwa Kufanya usafi

    April 26, 2022
  • Viongozi Watakiwa Kutoa Ushirikiano Katika Utekelezaji Wa Anwani Za Makazi

    March 21, 2022
  • Wakusanya Taarifa Za Anwani Za Makazi Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Weledi

    March 16, 2022
  • Ona Yote

Video

Wilaya ya Hai Nafasi ya 4 Kitaifa Darasa la Saba 2020
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai