Mwenge wa uhuru umeweka jiwe la msingi katika jengo jipya la wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU) katika hospitali ya wilaya ya Hai Juni 11, 2022 baada ya kuridhishwa na ujenzi unaoendelea.
Mkimbiza mwenge wa uhuru kitaifa Sahili Geraruma wakati akiweka jiwe la msingi, ameitaka halmashauri ya Hai kuendelea kusimamia vema matumizi sahihi ya fedha za miradi pamoja na kukamilisha miradi kwa wakati.
Jingo hilo litagharimu kiasi cha shilingi milion 250,000,000 hadi kukamilika.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai