waongozaji wapiga kura kufanya kazi hiyo kwa uadilifu na kutumia maneno yenye sitaha wanapowaongoza wapigakura .
Angetile ameyasema hayo wakati wa mafunzo ya makarani yaliyofanyika katika ukumbi wa KKKT-Hai mjini ambapo wamehimizwa kuwa makini na kuzingatia kiapo walichokiapa na kuwa wafanyakazi wa muda wa tume ya uchaguzi.
Amewataka kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa na tume katika kusimamia zoezi hili muhimu na kutoa kipaumbele watu wenye uhitaji maalumu ili kutimiza wajibu wao wakikatiba.
Kwa upande wao Makarani wamesema kuwa elimu waliyoipa itawasaidia katika shughuli zote na kuwa wadilifu muda wote wakati wa uongozaji wapigakura ili kuhakikisha kila mpiga kura watimize wajibu wao wa kikatiba.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 3 RD TTCL RC CHURCH 25382, P.O BOX 27 Hai
Simu: 0754553560
Simu ya Mkononi: 0754553560
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai