• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Hai District Council
Hai District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Hai

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Utawala na Utumishi
      • Ardhi na Maliasili
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Ujenzi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
        • Taarifa Idara ya Kilimo
      • Mifugo na Uvuvi
        • Wasilisho Mifugo
      • Maendeleo ya Jamii
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Ugavi na Manunuzi
      • Sheria
      • Uchaguzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
      • Maporomoko ya Maji ya Nshara
      • Chemchemi ya Chemka
      • Mila na Utamaduni
      • Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Industry and Trade
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Elimu
    • Kilimo
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
    • Ratiba ya Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Mipya
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
      • Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi
      • Ahadi ya Uadilifu Watumishi
      • Fomu ya Maombi ya Likizo
      • OPRAS Walimu
      • OPRAS Watumishi
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya Video
    • Maktaba ya Picha
    • Matukio
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
      • Taarifa kwa Umma-Mikopo
    • Jarida
  • Mifumo
    • Mfumo wa Kiuhasibu (FFARS)
    • Mfumo wa Bajeti (Planrep)
    • Mfumo wa Vibali Safari za Nje
    • Mfumo wa Taarifa za Mapato (LGRCD)
    • Mfumo wa Taarifa za Shule (TanzaniaSIS)
    • Usajili Kupata TIN (TRA)

Maafisa Ugani Wilayani Hai Watakiwa Kutunza Pikipiki Walizopewa

Imetumwa: June 14th, 2022

Serikali wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro imewataka maafisa ugani kutumia vema pikipiki walizopewa kwa ajili ya kuwafikia wakulima katika maeneo yao kwa wakati na kuwapatia huduma muhimu za ugani  ili kuwawezeha kufanya kilimo chenye tija.

Kauli hiyo imetolewa Juni 14 2022 na Mkuu wa Wilaya ya Hai ndugu Juma Irando wakati akikabidhi jumla ya pilipiki 39 kwa maafisa ugani wa halmashauri hiyo na kuwasisitiza  kuzitunza pikipiki hizo ili ziweze kutumika kwa muda mrefu huku akiwakumbusha kuwa pikipiki hizo sio kwa ajili ya shughuli za kusafirishia abiria (bodaboda) na badala yake zifanye kazi iliyokusudiwa na serikali.

Kwa upande wake afisa kilimo wa halmahauri ya wilaya ya Hai ndugu David Lekei amesema kuanzia mwaka wa fedha Julai 2022 maafisa ugani hao watakuwa wakipatiwa fedha ya mafuta pamoja na matengenezo.

Naye mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Hai ndugu Edmund Rutaraka amewataka maafisa ugani hao kuwasimamia wakulima ili wafanye kilimo cha kibiashara baada ya changamoto hiyo ya usafiri kutatuliwa.

Kwa upande wake mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Hai ndugu Wang’uba Maganda amesema asilimia kubwa ya wananchi wa Hai ni wakulima na hivyo serikali imeamua kuwawezesha maafisa ugani ili kufika katika maeneo yao ya kazi kwa urahisi.

Utoaji wa pikipiki hizo ni mpango wa serikali kupitia wizara ya kilimo ulio lenga kuwawezesha maafisa ugani wote nchini kupata urahisi wa kuwafikia wakulima na Halmashauri ya wilaya ya Hai ni miongoni mwa halmashauri zilizonufaika na mpango huo  ambapo jumla ya  maafisa ugani 39 wote wamepata pikipiki.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 15, 2022
  • Tangazo la Kutafuta Fundi kwa ajili ya Ukarabati wa Jengo la Utawala katika Halmashauri ya Wilaya September 02, 2020
  • TANGAZO LA KAZI MAALUMU UCHAGUZI MKUU 2020 September 19, 2020
  • MATOKEO YA MTIHANI WA KITAIFA KIDATO CHA PILI MWAKA 2021 January 15, 2022
  • Ona Yote

Habari Mpya

  • Madereva Bajaji na Bodaboda Wilayani Hai Watakiwa Kutojihusisha na Uhalifu

    June 20, 2022
  • Maafisa Ugani Wilayani Hai Watakiwa Kutunza Pikipiki Walizopewa

    June 14, 2022
  • Mwenge Waweka Jiwe la Msingi UJenzi Wa ICU

    June 11, 2022
  • Mwenge Wazindua Barabara Ya St Dorcas Yenye Thamani Ya Shilingi 417,115,485

    June 11, 2022
  • Ona Yote

Video

UGAWAJI WA PIKIPIKI WILAYA YA HAI
Vidio Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Planrep
  • TANEPS
  • Mfumo wa Ajira za Afya
  • Blog ya Wilaya
  • Fomu ya Maombi ya Likizo
  • Fomu ya OPRAS - Walimu
  • Fomu ya OPRAS - Watumishi
  • Matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba Shule za Wilaya ya Hai Mwaka 2020
  • Muundo wa Halmashauri

Viunganishi Vinavyohusiana

  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • Tovuti kuu ya serikali
  • TAMISEMI
  • Mfumo wa Bajeti
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri nje ya nchi

Watembeleaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji

free HitCounter

Ramani

Wasiliana Nasi

    Kitongoji cha Bomani

    Anuani ya Posta: 27 Hai

    Simu: 0272758441

    Simu ya Mkononi:

    Barua Pepe: ded@haidc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani
    • Huduma

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai