Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango halmashauri ya wilaya ya Hai Julai 18 2022, imefanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo mbalimbali wilayani humo lengo likiwa ni kubaini endapo fedha zinazotolewa na Serikali zimetumika katika malengo yaliyokusudiwa.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai