MKUTANO WA BARAZA LA HALMASHAURI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Hai anawakaribisha wakazi wote wa Wilaya ya Hai kwenye Mkutano wa Baraza la Halmashauri utakaofanyika kwenye Siku ya Ijumaa tarehe 31-08-2018 kwenye ukumbi wa Halmashauri kuanzia Saa 4:00 Asubuhi.
Wote mnakaribishwa.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai