Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefanya operesheni katika kijiji cha Mtakuja ulio katika kata ya kia wilayani hapa ambapo amefanikiwa kukamata mitambo sita yakutengenezea gongo pamoja na Lita elfu nne mia nane ya pombe hiyo haramu na kuamuru Watu wawili kukamatwa pamoja na baadhi ya watu wengine waliokimbia wakati akifanya operesheni hiyo.
Kitongoji cha Bomani
Anuani ya Posta: 27 Hai
Simu: 0272758441
Simu ya Mkononi:
Barua Pepe: ded@haidc.go.tz
Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Hai